Tovuti ya TACAIDS  inalenga  kusambaza taarifa muhimu za  VVU na UKIMWI kwa jamii, pamoja na kubadilishana uzoefu na wadau wanao tekeleza afua za UKIMWI nchini, ili kuboresha mapambano ya UKIMWI na kufikia malengo yetu ya kuwa na Tanzania isiyo na maambukizi ya VVU.

Nyote mnakaribishwa.

Dkt. Leonard L. Maboko
MKURUGENZI MTENDAJI

Wasiliano

Executive Chairman
Anwani:
TANZANIA COMMISSION FOR AIDS


SOKOINE DRIVE / LUTHULI STREET
Dar es Salaam
Tanzania
Email:
Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.
Simu:
+255 22 2122651
Fax:
+255-22-2122427
Simu ya rununu:
+255 222125127

Fomu ya mawasiliano

Tuma barua pepe. Maeneo yote yaliyo na kinyota (*) yanahitajika.