Tovuti ya TACAIDS inalenga kusambaza taarifa muhimu za VVU na UKIMWI kwa jamii, pamoja na kubadilishana uzoefu na wadau wanao tekeleza afua za UKIMWI nchini, ili kuboresha mapambano ya UKIMWI na kufikia malengo yetu ya kuwa na Tanzania isiyo na maambukizi ya VVU.
Nyote mnakaribishwa.
Dkt. Leonard L. Maboko
MKURUGENZI MTENDAJI