Tovuti ya TACAIDS  inalenga  kusambaza taarifa muhimu za  VVU na UKIMWI kwa jamii, pamoja na kubadilishana uzoefu na wadau wanao tekeleza afua za UKIMWI nchini, ili kuboresha mapambano ya UKIMWI na kufikia malengo yetu ya kuwa na Tanzania isiyo na maambukizi ya VVU.

Nyote mnakaribishwa.

Dkt. Leonard L. Maboko
MKURUGENZI MTENDAJI

Ufuatao ni Muundo wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania

 • Idara ya Uratibu wa Mwitikio wa Taifa
 • Idara ya Uraghbishi
 • Idara ya Fedha na Utawala
 • Idara ya Sera, Mipango na Utafiti    
 • Kitengo cha Ufuatiliaji na Tathmini
 • Kitengo cha Menejimenti ya Mifumo ya Habari 
 • Kitengo cha Menejimenti ya Manunuzi    
 • Kitengo ch Ukaguzi wa Ndani
 • Kitengo cha Habari, Elimu na Mawasiliano
 • Kitengo cha Huduma za Sheria
 • Kitengo cha Programu Maalum