Tovuti ya TACAIDS  inalenga  kusambaza taarifa muhimu za  VVU na UKIMWI kwa jamii, pamoja na kubadilishana uzoefu na wadau wanao tekeleza afua za UKIMWI nchini, ili kuboresha mapambano ya UKIMWI na kufikia malengo yetu ya kuwa na Tanzania isiyo na maambukizi ya VVU.

Nyote mnakaribishwa.

Dkt. Leonard L. Maboko
MKURUGENZI MTENDAJI

Wafuatao ni baadhi ya Washirika wa Maendeleo wanaoshirikiana na Serikali ya Tanzania katika mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI nchini Tanzania:

 1. Benki ya Dunia
 2. Mfuko wa Kimataifa wa Kupambana na UKIMWI Kifua Kikuu na Malaria
 3. Shirika la Misaada la Ubelgiji
 4. Mpango wa Umoja wa Mataifa wa Kudhibiti UKIMWI
 5. Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa
 6. Mpango wa Chakula Duniani
 7. Shirika la Afya Duniani
 8. Shirika la Kilimo la Umoja wa Mataifa
 9. Ubalozi wa Ufaransa
 10. Idara ya Maendeleo ya Uingereza
 11. Shirika la Maendeleo la Uswidi
 12. Shirika la Misaada la Japan
 13. Shirika la Maendeleo la Canada
 14. Shirika la Maendeleo la Norway
 15. Shirika la Maendeleo la Ireland
 16. Shirika la Maendeleo la Denmark
 17. Ubalozi wa Falme ya Uholanzi
 18. Mpango wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa
 19. Mfuko wa Idadi ya Watu wa Umoja wa Mataifa
 20. Seikali ya Marekani
 21. Umoja wa Nchi za Ulaya
 22. Shirika la Misaada la Ujerumani
 23. Shirika la Maendeleo la Uswisi