|
Nyaraka na taarifa za kimataifa zilizounganishwa na tovuti ya Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania zinawasilishwa na Tume kwa lengo la matumizi ya umma yaliyowasilishwa kwa njia ya taarifa za VVU/UKIMWI. Aidha ni masuala yanayohusu afya ya jamii.
Kuna upungufu wa usahihi, kuaminika na kufaa kwa taarifa zinazopatikana kupitia tovuti. Watumiaji wa tovuti wanashauriwa wakati wa kutumia taarifa zinazopatikana katika tovuti yetu au mitandao mingine iliyo unganishwa nayo kwa mchakato kwa ajili ya kutolea uamuzi hawana budi kuhakiki taarifa hizo kutokana na vyanzo vingine. Hakuna upande wowote au chombo kinachohusika na huduma hii, tovuti au taarifa kitakacho chukua jukumu lolote kwa matumizi ya taarifa hizo, kitakacho tokea au mtu yeyote au upande wowote kutokana na taarifa yeyote iliyopatikana au kusomwa au kufaa au usahihi wa taarifa yeyote iliyomo au iliyounganishwa na tovuti hii.
Taadhari yote inachukuliwa kuhakikisha kwamba taarifa inayotolewa na wakusanyaji wa taarifa kutoka kwenye tovuti hii ni sahihi kadri iwezekanavyo licha ya hali ya utata ya tovuti, hata hivyo hakuna uwajibikaji unaokubaliwa iwapo taarifa yeyote ilichukuliwa na mtumiaji hatimaye inaonekana kuwa imepitwa na wakati au haifai.
Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania haichukui dhamana dhidi ya makosa ya binadamu au mitambo, kuachwa kwa taarifa, kuchelewa, maingiliano au upotevu, ikiwemo kupotea kwa data. Tume haihusiki kwa lolote na majalada yaliyomo humu kwa ajili ya upakuaji kutokuwa na virusi vya aina mbalimbali vinavyoweza kuathiri au kuharibu tovuti. Kwa maswali mengine yoyote yanayohusu ilani hii tafadhali wasiliana nasi kupitia:
This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it
au
This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it
.
|