|
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Ofisi ya Waziri Mkuu TUME YA KUDHIBITI UKIMWI TANZANIA |
|
![]() |
English | Kiswahili |
| Matibabu na Huduma |
|
|
Matunzo na Matibabu: Mpango maalumu wa Tiba ya Kuongeza Kinga ya Mwili umetekelezwa na zaidi ya WAVIU 70,000 wamepewa matibabu hadi mwisho wa 2006, na Miradi ya matunzo nyumbani imepanuliwa hasa na vyama vya kiraia.
Lengo: Kupunguza kiwango cha kuugua na vifo vinavyotokana na ugonjwa wa UKIMWI. Kiashirio: Kiwango kwa asilimia ya watu wazima na watoto wenye maambukizo ya VVU ambao wanajulikana kuwa wako kwenye matibabu kwa muda wa miezi 12 tangu waanzishiwe dawa za ARV.
|