Forgot your password?
The Tanzania Commission for AIDS
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Ofisi ya Waziri Mkuu

TUME YA KUDHIBITI UKIMWI TANZANIA
The Tanzania Commission for AIDS
TACAIDS
| English | 
Home
Habari Motomoto
  • Pause
  • Previous
  • Next
1/4
Mapitio ya Sera ya Taifa ya UKIMWI iliyopitishwa Mwaka 2001

TANGAZO: MAPITIO YA SERA YA TAIFA YA UKIMWI ILIYOPITISHWA MWAKA 2001

1.0 UTANGULIZI
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Tume ya Kudhibiti UKIMWI – TACAIDS inapenda kuutangazia Umma kuwa imeanza mchakato wa kupitia Sera ya Taifa ya UKIMWI iliyopitishwa mwaka 2001.  Mapitio hayo yameanza tangu tarehe 1 Novemba 2009.  Ni matarajio ya Serikali kuwa zoezi lote litakuwa limekamilika katikati ya mwezi Machi 2010.

Read more
 
Kuhusu TACAIDS
Dira & Dhamira Dira & Dhamira Dira ya TACAIDS ni: Tanzania inaendeleza juhudi za pamoja za kupunguza kuene...
Kazi Zetu
Kazi za TACAIDS Kazi za TACAIDS Zifuatazo ni kazi za TACAIDS: - Kutunga miongozo kwa ajili ya mwitikio wa map...
 
Nyaraka Muhimu
Mipango Mikakati Mipango Mikakati Mkakati wa Pili wa Taifa wa Kudhibiti UKIMWI (2008 – 2012) Mkakati wa Pili ...
 
 

Vidokezo

Kuelewa hali ya VVU kunawarahisishia watu binafsi kufanya maamuzi mahususi ya kupunguza tabia na mienendo hatarishi na kuongeza njia salama za kujamiiana.

Maoni

Vita dhibi ya UKIMWI vinaendelea ...