|
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Ofisi ya Waziri Mkuu TUME YA KUDHIBITI UKIMWI TANZANIA |
|
![]() |
| English | |
| Mapitio ya Sera ya Taifa ya UKIMWI iliyopitishwa Mwaka 2001 |
|
TANGAZO: MAPITIO YA SERA YA TAIFA YA UKIMWI ILIYOPITISHWA MWAKA 2001 Chimbuko la mapitio haya ni mabadiliko na maendeleo mbalimbali ya kisayansi, kiteknolojia, kiuchumi na kijamii ambayo yametokea tangu mwaka 2001 Sera ya sasa ya UKIMWI ilipopitishwa. Aidha kumekuwa na changamoto nyingi ambazo zinatakiwa kuzingatiwa katika juhudi za kudhibiti UKIMWI nchini. Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali imechukua hatua mbalimbali za kudhibiti UKIMWI.
Hatua hizo zimejumuisha utoaji wa elimu kuhusu UKIMWI, huduma za matibabu zikijumuisha utoaji wa dawa za kupunguza makali ya UKIMWI kwa watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI na huduma za matunzo. Vile vile tafiti mbalimbali zimeendelea kuendeshwa zikiwemo za chanjo ya UKIMWI. Serikali pia imetoa miongozo na mikakati mbalimbali tangu kipindi hicho ambayo inapaswa izingatiwe katika Sera.
|
Dira & Dhamira
Dira ya TACAIDS ni:
Tanzania inaendeleza juhudi za pamoja za kupunguza kuene...
Kazi za TACAIDS
Zifuatazo ni kazi za TACAIDS: -
Kutunga miongozo kwa ajili ya mwitikio wa map...
Utafiti wa Kiashirio cha VVU/UKIMWI na Malaria Tanzania 2007-08
Hali ya UKIMWI NchiniUtafiri wa kiashirio cha VVU/UKIMWI na malaria Tanzania 2...
Mipango Mikakati
Mkakati wa Pili wa Taifa wa Kudhibiti UKIMWI (2008 – 2012)
Mkakati wa Pili ...