|
Kufuatia kukamilika kwa mikataba ya Wakala wa Tume wa Mikoa [RFA], TACAIDS imeingia mkataba na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii ili kuendelea kupeleka fedha za MJADU [CARF] kwa Jamii. Aidha mkataba huu ulilenga kukamilisha utoaji wa fedha kutoka mradi wa TMAP amabo unamalizika mwezi Machi 2010
|