Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Waziri Mkuu

Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania

Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania

Majukumu


  • Kuratibu wa shughuli za UKIMWI
  • Kutengeneza Sera na Mikakati ya kudhibiti UKIMWI nchini
  • Kufuatilia na kutathimini ugonjwa wa UKIMWI
  • Uraghbishi na elimu kwa umma
  • Kutafuta rasilimali na kugawa sawa kwa ajili ya UKIMWIKusaidia tafiti za UKIMWI, utoaji taarifa na makala kwa ajili ya kudhibiti UKIMWI
  • Kusaidia juhudi za kutafuta tiba, kuongeza huduma ya tiba na kutengeneza chanjo ya UKIMWI.
  • Kusambaza taarifa kuhusu UKIMWI na madhara yake kwa nchini nzima.