News
DKT. MRISHO AMEPOKELEWA RASMI TACAIDS
Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania TACAIDS Dkt. Adam Joseph Mrisho amepokelewa rasmi na watumishi wa TACAIDS wakiongozwa na aliekuwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Dkt. Samwel Sumba ambaye amefanya makabidhiano ya ofisi kwa Mkurugenzi Mtendaji Dkt. Mrisho leo April 30, 2026

