Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kasimu Majaliwa akipokea maelezo alipotembelea banda la TACAIDS kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Idara ya Mwitikio wa Kitaifa Bi. Audrey Njelekela wakati wa kilele cha maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani ambapo Kitaifa yamefanyika Mkoani Morogoro Desemba 1, 2023