Welcome to the official website of the Tanzania Commission for AIDS (TACAIDS). Our mission is to coordinate and lead a multisectoral response to HIV and AIDS, ensuring that no individual, family, or c...
Read More
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu Dkt. James Kilabuko akipata maelezo alipotembelea banda la TACAIDS lililopo ndani ya banda la Ofisi ya Waziri Mkuu wakati wa maonesho ya 49 ya kimataifa biashara (Sabasaba)

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. William Lukuvi (kushoto) akimkabidhi nyaraka muhimu za kufanyia kazi Mwenyekiti wa Bodi ya mfuko wa ATF Bw. Sabasaba Moshingi baada ya kuzindua rasmi Bodi hiyo jijini Dodoma
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TACAIDS. Dkt. Catherine Joachim akizungumza wakati alipokua akifungua kikao kazi cha kuwajengea uwezo Wakurugenzi wa Sera na Mipango kutoka kwenye Wizara zote juu ya Mpango wa Uendelevu wa mwitikio wa UKIMWI nchini. kikao kazi hicho kilifanyika jijini Dodoma

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TACAIDS Dkt. Catherine Joachim (wa tatu kutoka kushoto) akiwa na Mkurugenzi wa Shirika la Kazi Duniani (WHO) aliyesimama katikati pamoja na watumishi wengine kwenye picha ya pamoja baada ya kumaliza majadiliano kati ya taasisi hizo mbili jijini Dar es salaam
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TACAIDS Dkt Catherine Joachim akiwa kwenye mazungumzo na Mkurugenzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kupambana na UKIMWI Dkt. Martin Odiit jijini Dar es salaam
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TACAIDS Dkt. Catherine Joachim akiwa kwenye mazungumzo na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Dkt. Charles Sagoe - Moses jijini Dar es salaam