News
MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI 2022
Serekali kupitia Tume ya kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) imefanya maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani ambapo kitaifa yamefanyika Mkoani Lindi katika Viwanja vya Ilulu. Maonyesho yalianza tarehe 24 Novemba 2022 na kilele cha maadhimisho ni Tarehe 1 Desemba 2022 Mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hasani