Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi akiambatana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar anayeshughulikia Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi, Mhe. Hamza Hassan Juma, wametembelea banda la Tume ya kudhibiti UKIMWI Tanzania - TACAIDS wakati wa maonesho ya wiki ya Vijana katika viwanja vya Uhindini jijini Mbeya Oktoba, 2025