Welcome to the official website of the Tanzania Commission for AIDS (TACAIDS). Our mission is to coordinate and lead a multisectoral response to HIV and AIDS, ensuring that no individual, family, or c...
Read More
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) Dkt. Catherine Joachim akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Kili Challenge 2025
Mhe. Jerry Silaa, Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, akizungumza kwa niaba ya Naibu Waziri Mkuu wakati akizindua kampeni ya Kili Challenge 2025 jijini Dar es Salaam
Mgeni rasmi wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Kili Challenge 2025 Mhe Jerry Silaa aliyesimama katikati akimuwakilisha Naibu Waziri Mkuu akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi kutoka TACAIDS, GGML na mkoa wa Kilimanjaro
Kaimu Mkurugenzi wa TACAIDS. Dkt Catherine Joachim akizungumza wakati wa kuwasilisha mpango na bajeti ya TACAIDS kwa mwaka wa fedha 2025/2026 kwenye kamati ya kudumu ya Bunge ya Afya na UKIMWI
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga akizungumza wakati TACAIDS inawasilisha mpango na bajeti kwenye kamati ya kudumu ya Bunge ya Afya na UKIMWI
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga (Mb) wa tatu kutoka kushoto, akizindua mrati wa Timiza Malengo awamu ya tatu kwa mwaka 2024 hadi 2026