Mhe. George Simbachawene Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu na Katibu Mkuu Dkt Yonaz Jimmy wakimsikiliza Dkt Leonard Maboko Mkurugenzi Mtendaji wa TACAIDS alipokuwa anawasilisha Muundo na Majukumu kwa kamati ya kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI, leo jijini Dodoma tarehe 12Machi 2023.