Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania
The Prime Minister's Office

Tanzania Commission for AIDS

Tanzania Commission for AIDS

News

BALOZI WAZIRI SALUM ATEMBELEA BANDA LA TACAIDS KWENYE MAONESHO YA BIASHARA -SABASABA 2026


katibu Mkuu wa Viwanda na Biashara, Balozi Waziri Salum amepata fursa ya kutembelea banda la TACAIDS lililopo kwenye banda Jumuishi la Ofisi ya Waziri Mkuu kujionea huduma zinazotolewa na TACAIDS, ikiwemo elimu ya VVU na UKIMWI, huduma za ushauri nasaha na upimaji wa VVU bila malipo, magonjwa yasiyoambukiza pamoja na jitihada za kuhamasisha jamii kushiriki kikamilifu katika kuimarisha Mwitikio dhidi ya VVU na UKIMWI.