Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania
The Prime Minister's Office

Tanzania Commission for AIDS

Tanzania Commission for AIDS

News

MAONESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA-SABASABA (DITF) 2026


Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Comredi Kheri James ametembelea banda la TACAIDS lililopo kwenye Banda Jumuishi la Ofisi ya Waziri Mkuu na taasisi Zake katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara Sabasaba yanayoendelea, Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Aidha amefurahishwa na maelezo aliyopewa kuhusu Takwimu za hali ya VVU na UKIMWI inavyoendelea mkoani Iringa na nchini kote