News
WAZIRI PROF PALAMAGAMBA KABUDI ATEMBELEA MIRADI YA MASHINE ZA KIDIGITALI ZA KUSAMBAZA KONDOMU
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu. Prof. Palamagamba Kabudi (Mb) amefanya ziara katika Mkoa wa Morogoro na kutembelea mradi wa mashine ya kidigitali ya kusambaza kondomu (Condom Vending Mashine) ambayo inayotekelezwa na TACAIDS chini ya Uratibu wa Ofisi ya Waziri Mkuu-Sera, Bunge, Uratibu na wenye Ulemavu.

