News
WANANCHI WAKIPATA ELIMU YA VVU NA UKIMWI KATIKA VIWANJA VYA SABASABA
Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania-TACAIDS inaendelea kutoa elimu ya VVU na UKIMWI kwa wananchi waliopo viwanja vya sabasaba ikiwemo matumizi ya Kondom,matumizi ya dawa kinga dhidi ya maambukizi ya VVU na huduma ya Upimaji inayotolewa bila malipo katika banda la TACAIDS kwenye banda jumuishi la Ofisi ya Waziri Mkuu na Taasisi zake viwanja vya mwalimu Nyerere, jijini Dar-es-Salaam.

