Events
ATF MARATHON 2023
Ofisi ya WazirI Mkuu kupitia Tume yakudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) Imeandaa mbio za ushindi dhidi ya VVU zijulikanazo kama ATF Marathon 2023 Mkoani Morogoro
NAMNA YA KUJISAJILI
Usajili una bei tatu:
✓Kwa Mtu mmoja ni 40,000/=
✓Kwa mtu mmoja atakaye jisajili kabla ya tarehe 10/11/2023 ni 35,000/=
✓Kwa timu ya watu kuanzia 12 ni 30,000/=
Unaweza kujisajili Kwa kulipia kupitia lipa namba ya Tigo 5379242 Jina. AIDSTRUSTFUND
ATF Marathon itafanyika tarehe 26 November, 2023 Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro
Vifaa vitakavyopatikana:
✓Tshirt
✓Medal
✓Rope bag
✓BIB Number
Faida za kushiriki: Unaboresha afya, kufahamiana na watu wapya
pamoja na kusaidia kuboresha maisha ya Watu wanaoishi na VVU (WAVIU)
Kwa taarifa zaidi na ufadhili:
0758338681/0787443408
Karibuni sana