Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania
The Prime Minister's Office

Tanzania Commission for AIDS

Tanzania Commission for AIDS

News

MAONYESHO YA KIMATAIFA YA WAFANYA BIASHARA SABASABA 2024


Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo ya hali ya mwitikio wa UKIMWI Nchini alipotembelea banda la TACAIDS kwenye viwanja vya sabasaba Mkoani Dar es salaam. Anayempa taarifa ni Mkurugenzi wa Uraghibishi na Habari TACAIDS Bw. Jumanne Issango