Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania
The Prime Minister's Office

Tanzania Commission for AIDS

Tanzania Commission for AIDS

News

BODI YA ATF YAJIONEA UTEKELEZEJI WA AFUA MBALIMBALI DHIDI YA VVU NA UKIMWI


Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Mfuko wa Udhamini wa Kudhibiti UKIMWI (AIDS Trust Fund-ATF) akiongozana na wajumbe wa Bodi pamoja na uongozi wa TACAIDS wametembelea kliniki ya Tiba na Matunzo ya kituo cha Afya Katoro kujionea huduma zinazotolewa katika kituo hicho na kuongea na konga ya WAVIU ya Geita vijijini na kikundi cha WAVIU cha Mshikamano kilichopo mji Katoro, Geita.