News
MAONESHO YA BIASHARA YA 21 YA AFRIKA MASHARIKI
Raisi wa chemba ya Taifa ya Biashara Bw. Vicent Minja ametembelea banda la TACAIDS lililopo kwenye banda jumuishi la ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu katika Maonesho ya Biashara ya Afrika Mashariki yanayofanyika kwenye Viwanja vya Furahisha, Jijini Mwanza na kujionea Vijana wa vikundi vya Paza Sauti na Dreams walivyoweza kutumia fursa ya elimu ya ujasiriamali waliyopewa chini ya uratibu wa TACAIDS kujitengenezea kipato ili kukuza uchumi wa jamii na Taifa kwa ujumla.

