Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania
The Prime Minister's Office

Tanzania Commission for AIDS

Tanzania Commission for AIDS

News

BODI YA ATF YAJIONEA UTEKELEZEJI WA AFUA MBALIMBALI DHIDI YA VVU NA UKIMWI


Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Mfuko wa Udhamini wa Kudhibiti UKIMWI (AIDS Trust Fund-ATF) akiongozana na wajumbe wa Bodi pamoja na uongozi wa TACAIDS wamewatembelea WAVIU ambao ni vijana balehe walioko katika Chuo cha Ufundi Veta mkoani Geita kujionea maendeleo yao na kuona namna wanavyojifunza katika chuo hicho.