News
BODI YA MFUKO WA WADHAMINI WA ATF YAFANYA KIKAO KUJADILI UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA ZINAZODHAMINIWA NA MFUKO
Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania -TACAIDS imeratibu kikao cha Bodi ya Mfuko wa Udhamini wa Kudhibiti UKIMWI (AIDS Trust Fund – ATF) kwa lengo la kujadili utekelezaji wa afua za VVU na UKIMWI chini ya uratibu wa TACAIDS katika mwaka mpya wa fedha 2025/2026

