Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania
The Prime Minister's Office

Tanzania Commission for AIDS

Tanzania Commission for AIDS

News

HAFLA YA KIKAO KAZI NA WADAU WA VVU NA UKIMWI KATIKA KUIMARISHA MWITIKIO WA UKIMWI NCHINI


Mkurugenzi Mtendaji wa TACAIDS Dkt. Adam Mrisho akimpokea Mgeni rasmi ambaye ni Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Dkt.Toba Nguvila katika hafla ya ufunguzi wa kikao kazi kilichoratibiwa na TACAIDS kupitia OWM SBUU, kwa kushirikiana na Sekretariet ya Mkoa-Arusha, Wadau wa Utalii, Afya, Mawasiliano kwa lengo la kujadili fursa katika kuboresha mashirikiano kwenye mwitikio wa VVU na UKIMWI