News
Kampeni ya Kilimanjaro challenge Against HIV and AIDS 2023
Watumishi wa Tume ya kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) wakiwa katika kilele cha Mlima Kilimanjaro baada ya kushiriki kupanda Mlima kupitia Kampeni ya Kilimanjaro challenge Against HIV and AIDS 2023