Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania
The Prime Minister's Office

Tanzania Commission for AIDS

Tanzania Commission for AIDS

News

KATIBU MKUU DKT. JIM YONAZI ATEMBELEA KIKUNDI CHA PEACE AND LOVE KILICHOPO KATIKA HALMASHAURI YA JIJI LA MWANZA


Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu- Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Dkt. Jim Yonazi akiongozana na Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania- TACAIDS Dkt. Adam Mrisho na wadau wengine wametembelea kikundi cha Peace and Love kinajishughulisha na kilimo cha nyanya na matikiti kinachosimamiwa na Halmashauri ya Jiji la Mwanza kupitia Mradi wa DREAMS, unaoratibiwa na TACAIDS kwa kushirikiana na ICAP