Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania
The Prime Minister's Office

Tanzania Commission for AIDS

Tanzania Commission for AIDS

News

KIKAO KAZI NA WADAU KUTOKA SEKTA BINAFSI NA UMMA


Mkurugenzi Mtendaji wa TACAIDS Dkt. Adam Mrisho, Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Dkt.Toba Nguvila pamoja na Katibu Tawala wa Wilaya ya Arusha Dkt. Jacob Rombo wakiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa TACAIDS, wawakilishi kutoka wizara za kisekta,Sekretariet ya Mkoa wa Arusha , Wadau wa Afya, Habari, Sanaa, Michezo na Utamaduni, Utalii na Afya baada ya hafla ya ufunguzi wa kikao cha kuboresha ushirikiano kwenye Mwitikio wa VVU na UKIMWI nchini