Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania
The Prime Minister's Office

Tanzania Commission for AIDS

Tanzania Commission for AIDS

News

UTIAJI SAINI WA MAKUBALIANO KATI YA TACAIDS NA TPSF


Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS), Dkt. Leonard Maboko(kushoto) na Mjumbe wa Bodi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya bodi ya Wakurugenzi inayosimamia huduma kwa wanachama wa (TPSF), Bw. Octavian Mshiu(kulia) wakitia saini makubaliano ya ushirikiano kati ya TACAIDS na TPSF yanayolenga ushirikiano katika kudhibiti maambukizi ya VVU, maeneo ya kazi pamoja na kuhimiza vyanzo vya ndani kuchangia mfuko wa udhamini wa kudhibiti UKIMWI (ATF), hafla hiyo imefanyika Dar es Salaam Februari 22, 202